UTANGULIZI. Taarifa hii imegawanyika katika sehemu kuu mbili; Katika kipindi hiki cha mwaka wa fedha 2025/2026 CEAMCU Ltd ilikisia kupata jumla ya TSZ ……………………. Na kufanya matumizi jumla ya TZS…………………. kwa makisio ya kawaida. Hali halisi ya mapato yaliyokusanywa kwa kipindi cha Mwaka wa fedha 2025/2026 (April 2025 – Juni 2025) ni TZS………………………. Na matumizi […]
UJUMBE WA MENEJA MKUU
UJUMBE WA MENEJA MKUU Mpango mkakati huu umeainisha malengo matano (5) ya kimkakati ya CEAMCU Ltd kwa miaka mitano ijayo (2026/27 – 2030/31) kama ifuatavyo: Lengo ni kuimarisha uendeshaji wa shughuli za Chama kwa maslahi ya AMCOS wanachama kwa kuzingatia misingi ya Uadilifu, Uwazi na Uwajibikaji, Ubunifu na Utaalam. Ni matumaini yangu kuwa mpango mkakati […]

